Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Happy birthday KUB
FB_IMG_1568458923038.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi bint mpendwa, unaitwa huku
Shida ya mabinti wa humu sijui wakoje. Kila mmoja anadai ni kimbaumbau halafu hawana misambwanda. Uwongo mtupu.

Mpendwa Hawachi nadhani ni toto moja hivi la kishombeshombe tipwatipwa kidizaini zuri refu umbo mkatiko makazi yake Dubai hukoooo. Aaaaaaaaargh !!!
 
Back
Top Bottom