Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1568457203609.jpeg
 
hao wanaume wajinga kweli, ningelikuwa ni mimi ningelikuwa natuma maombi ya kazi kila wiki kwa kutumia ID tofauti kama walivyo fyekero wa JF.
KESHO MWANAMKE LEO MWANAMME.
View attachment 1207197
au babu shimba mjukuu wako nimekosea?​
Hata mimi nilifikiri hivyo hivyo. Mpaka moyo umeniuma yaani. Halafu eti mianaume mizima imeenda kulalamika.
 
Back
Top Bottom