capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ni njema, hujambo?Poaz! Habari ya weekend?
Muhimu sana hii. Ukikosea hutavuka miaka 55 bila watu kuimba parapanda
Muungwana sana jirani huyu,Kenyatta akiombolezaView attachment 1207419
binafsi mpaka muda huu siamini ya kwamba wewe unaumwa na jino.
haiwezekani mwanadamu anayeishi dubai asumbuliwe na jino haliyakuwa hali mihogo ya kuchemsha na mihogo mibichi kama sungura.
au nimekosea SHIMBA YA BUYENZE ?
[emoji14] [emoji14] 😛
Takwimu zinaeleweka sema basi tu mahaba na ukazaji wa UbongoKuna Raia kuelewa hizi mambo ni kazi sana, wacha sisi tuendelea kufaidi burudani za ukweli
Walamba viatu....[emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1207429
Kamefunga mangapi leo haka kafarao?
[emoji818][emoji818]