Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Poor Sonny Liston....
Late Ali alitendea haki Mchezo huu pendwa wa masumbwi
Poor Sonny Liston....
😀😀😀😀😀😀Hii tabia ya kujenga katika mawazo fulani yuko hivi siku ikichomolewa betri mwisho mnakuja kutukandia mbaya.Shida ya mabinti wa humu sijui wakoje. Kila mmoja anadai ni kimbaumbau halafu hawana misambwanda. Uwongo mtupu.
Mpendwa Hawachi nadhani ni toto moja hivi la kishombeshombe tipwatipwa kidizaini zuri refu umbo mkatiko makazi yake Dubai hukoooo. Aaaaaaaaargh !!!
Bro nshasuka hizo. Kwetu uswahilini sh 8000 kule ushuani kuanzia 30000 hadi 100000Masaa matano? Thubutuuu....
Labda angalau siku nzima [emoji16]
kuna walevi fulani aliwakuta juzi hawana hata jezi za hakiba
teh teh teh
binafsi mpaka muda huu siamini ya kwamba wewe unaumwa na jino.😀😀😀😀😀😀Hii tabia ya kujenga katika mawazo fulani yuko hivi siku ikichomolewa betri mwisho mnakuja kutukandia mbaya.
Yamesha chemka
saa moja maana juu anaweka yebo
Mimi nipo Vingunguti kiembe mbuzi hili mada ya Dubai kaileta Simba ya buyenze aulizwebinafsi mpaka muda huu siamini ya kwamba wewe unaumwa na jino.
haiwezekani mwanadamu anayeishi dubai asumbuliwe na jino haliyakuwa hali mihogo ya kuchemsha na mihogo mibichi kama sungura.
au nimekosea SHIMBA YA BUYENZE ?
😛 😛 😛