Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wahindi wanapambana sana na kinachowaokoa ni teknolojia. Wamewekeza sana katika sayansi na tekinolojia. Leo hii ukifika Marekani mambo ya IT, Medicine na hata Uhandisi wametawala sasa.
muhindi akifanikiwa kujuwa jambo dogo tu atalitumia kwenye mishe zake za kutafutia hela.
ukienda youtube wamejaza tutorials zao za IT haijalishi hawajui kiingereza fasaha kama mabishoo wa JF
 
70345814_648953072179850_6777190942843877978_n.jpg


Mamboz.
 
Back
Top Bottom