Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hili nawapenda sana Waislamu. Unavuta leo unazikwa leo hii hii hakuna cha mbwembwe wala nini. Sasa maiti anasubiri mwezi mzima kaburi linaandaliwa halafu ndiyo azikwe duh !!!
isijekuwa familia wanagombea mali ila wameamua kujificha kwenye mgogoro wa kutofautiana kifikra dhidi ya serikali.
wapemba wanaoishi kisiwani pemba ndio kabisaa hawapendi shobo za kijinga.
kama umekufa saa 2 usiku utakwenda kuzikwa usiku huo huo kwa vibatari.
hawalazi mzoga
 
FB_IMG_1568464094633.jpeg
 
Back
Top Bottom