Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo ya kukoga ilishaisha. Sasa ni wahubiri kwenda kuhubiri kwenye mabaa na night clubs [emoji16][emoji16]
jamaa ana vituko kuliko katuni ya rango

tezi dume
kukoga
database ya wajane
database ya walioa
kuhubiri klabu ya starehe
kitu pekee anachopatia ni zawadi ya millioni 10 kwa magolikipa
 
5a094a3d-e7b1-4dea-9cc1-c1b9d420e243.jpeg
 
Sina uhakika kama umenielewa sawasawa kwenye hiyo comment. Nimeweka na msisitizo kabisa #ifyouknowyouknow.

Maziwa hayo yapo ya kutosha. Njoo !!! [emoji16][emoji16]
kwani wale ng'ombe, mbuzi, kondoo bado wapo hai?
si nilisikia uliporudi chama tawala ulimkabidhi mwenyekiti wa kijiji kama alivyofanya edo aliyekatwa mkia?
 
Back
Top Bottom