Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

73fdca96-67b4-4b46-b63c-72c9b6f92c5d.jpeg
 
Na kama dadi wake akifanikisha kuondoa ukomo wa madaraka basi atakuwa madarakani mpaka azeekeemo
kashafanikiwa mbonaa bado kuwekwa saini tu itakapobaki miaka 3 kabla ya kumaliza miaka yake 10.
nani wa kumzuia haliyakuwa ameshamaliza kujenga timu yake itakayomsujudia?

mtatiro
kafulila
kitila mkumbo na ukoo wake wa ACT
lipumba
yule rafiki yake manara anayekwenda guest na gari ya serikali
nape msujudia mtu
makamba junior
manara mwenyewe
lugola
 
Aiseee....Kazi ipo tena pevu...
 
Aiseee....Kazi ipo tena pevu...
kuna watu wanadai jamaa hajui siasa, naishia kuwacheka kwa ujinga uliowajaa kichwani.
unafikiri nape atakuwa na uthubutu wa kumpinga tena mtakatifu haliyakuwa ameshajisalimisha kwake?
tumuombe jamaa asiwe na hamu ya kuongeza muda wa utawala ila hakuna mjinga wa kumzuia kama ataamua kufanya hivyo.

sababu ni ndogo tu:
amewafanya wajinga na werevu wa kitanzia waamini ya kwamba yeye pekee ndiye mpigania haki na usawa ndani ya taifa hili tokea aondoke nyerere na karume.
 
Back
Top Bottom