Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hii kampeni ya kuvaa vipensi ina maana gani kwa mashabiki wa yanga?
au kuna daktari anakwenda kuwatahiri wenye magovi huko uwanjani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
FB_IMG_1568464026496.jpeg
 
kuna watu wanadai jamaa hajui siasa, naishia kuwacheka kwa ujinga uliowajaa kichwani.
unafikiri nape atakuwa na uthubutu wa kumpinga tena mtakatifu haliyakuwa ameshajisalimisha kwake?
tumuombe jamaa asiwe na hamu ya kuongeza muda wa utawala ila hakuna mjinga wa kumzuia kama ataamua kufanya hivyo.

sababu ni ndogo tu:
amewafanya wajinga na werevu wa kitanzia waamini ya kwamba yeye pekee ndiye mpigania haki na usawa ndani ya taifa hili tokea aondoke nyerere na karume.
Mbona kama ni kupingwa anapingwa sana tu? Mimi naamini hataweza kuondoa kipengele cha ukomo wa madaraka hata ajitahidi vipi. Not to that extent. Nevaaa !!!
 
Back
Top Bottom