Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila nikajaribu cross dongo unafanya interception, na uwezo wa ku deliver kama Messi sina, Mkatalunya uwe unatoa na Assist
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂
Sasa hivi kama timu tumeshajua jinsi ya kukuchezesha, assist za wazi wazi huwa unazikataa lakini unazitaka, hivyo tumegundua hupendi kuonekana mzembe. Assist za visigino zinakufaa sana Mkatalunya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…