The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Nimejikausha tu then karudi home button haraka sana[emoji16][emoji16][emoji16]...nishapoaHalafu ikawaje TH? Ikabidi ujikaushe tu ama? Pole sana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Natamani niwe nakuona kwenye list hapo ili tukimbizane siunajua siku hizi adi kuna weekly race
Siyo wewe maana wewe ni mzuri huhitaji kujichubua. After all wengi wanajichubua ili kuficha makovu ya uathirika. Wewe hujaathirika why kujichubua? Unapendeza na natural colour! NdukiOtea
Naamini hivyo ila hawakawii kujenga ukuta wa Merelani kipindi cha piliWananogesha Tu hawawezi kukaza mpaka mwisho
😂😂😂😂[emoji23][emoji23]View attachment 1207666
😃😃[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
#nimeghairiligi[emoji12]
Bado unateseka, si uokoke tuuhuhuhu..! karibu ule ubwabwa mwezi ujao, usiyempenda kapata wa kumpenda... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nampenda sana sana tu lakini sasa
Kuna magauni huku. Mengine ya bluu [emoji16][emoji16]
Alikuwepo juzi hapa tena anachati kabisa nikakuita weee mpaka nikachoka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].... Kivuruge hayupo siku hizi bana, hayana thamani tena!