Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Migombani....
2a74bcbc-2749-49f3-abcd-756abdb80cab.jpeg
 
Ukisikia kichwa kinagonga usikimbilie kunywa Panadol. Kunywa glasi angalau mbili za maji halafu subiri nusu saa. Mara nyingi inakuwa ni dehydration tu na ukikimbilia kunywa dawa ndo unaharibu zaidi. Tujenge tabia ya kunywa maji ya kutosha si kwa faida ya figo tu na viungo vingine bali hata kwa ubongo wetu
View attachment 1207483
✔✔
 
Back
Top Bottom