Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
What a game
Full Time
Fiorentina 0-0 Juventus
Full Time
Fiorentina 0-0 Juventus
Kama akitokea wakati mimi sipo naomba uni-JF callPoa King....niliona anasambaza upendo kimya kimya nikaona nimuite walau hata aitike tusikie sauti yake
Labda demu ananitaka mi simjui. Mi nitajuaje?Sasa humo kwenye chupa nani kakuweka?
Mungu ni mwema [emoji120][emoji120][emoji120] salamu zimefika.Miye sijambo. Wewe vipi? Fikisha salamu zangu kwa dada na wapwa
Yupo.Huyo mcheshi ndio yupi?
Cha ukorofi yupo sana sema bado tu kupewa jina lake
Sijambo, Shkamoo kakaHujambo weye?
Binti yangu hajambo?
Mnapotea mno bana....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umepauka na vumbi hivyo [emoji849] ni kwenye maparachichi tu au ulibadilisha route juu kwa juu?
Usihofu babu me nipo salama kabisa na hawa vijana wacheshi, hilo suala LA kunyoa kipara hata nimesahau niliulizwaje.
Karibu sie tupo, ila kaoge kwanza [emoji6]ndio uje tupige stories
😀😀 sasa biashara gani hiyo ya parachichi moja?Hapana. Yeye anasemaga analo moja tu nene refu lililopinda kwa mbele. Bila shaka utalikuta [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Naendelea vzuri kabisa, huku joto sasa limewadiiaa....Ngosha hajambo na vituko vykeMarahaba TH...
Taifa hapa pako powa.
Kukoje huko kwako? Bado kipupwe? Ngosha wa Sapiwi anaendeleaje?