Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Mi ni njia kuu daima. Michepuko mwiko !!![emoji23][emoji23] eti tukutoa sahivi SHIMBA YA BUYENZE
baki baki humo kwanza mchepuko apate raha
Mungu atupe jioni njema
Mungu atupe afya na uzima
Mungu awaponye wagonjwa wooote
Nitafutieni miss chagga alikwendaga wapi yule mwanamke ?Nampenda sana sana tu lakini sasa
Poa King....niliona anasambaza upendo kimya kimya nikaona nimuite walau hata aitike tusikie sauti yakeBinti mstaarabu naungana na wewe kumuita huyo mtu...
Mambo vipi lakini?
Hahah! Sasa pale siwatajaa sana mafundi mzee sema sio kesi Pep akisikia taarifa zake hawezi mlazia damuWazee the citizen pelekeni scout huko, Fiorentina huwezi amini nimepotezea Game ya Man United kuna jamaa namwangalia wanamwita Chiesa Daah anawetesa sana vibibi vizee vya Turin
Binti mcheshiBinti mstaarabu naungana na wewe kumuita huyo mtu...
Mambo vipi lakini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bila shaka biashara yake ya maparachichi itakuwa imechanganya [emoji16][emoji16]