Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3297.JPG
 
Ni kweli binti yangu, ila kila mara huwa nakuja kukuchungulia kama upo salama.
Haya, nakuona mara kwa mara na hawa wazee humu, kuna hekima zozote unazichota kutoka kwao?
Usiache ucheshi wao uende bure, kwenye utani wao kuna mengi ya kujifunza, sawa mama?

Kuna sehemu nimeona unaulizwa sijui kunyoa sijui kipara?!!! Hata sikusoma vizuri maandishi yalikuwa hayaonekani.... Hata sijui umejibuje?!!! Achana na hilo...

Mungu ni mwema, nipo vizuri kabisa. View attachment 1207454
Mbona umepauka na vumbi hivyo 🙄 ni kwenye maparachichi tu au ulibadilisha route juu kwa juu?

Usihofu babu me nipo salama kabisa na hawa vijana wacheshi, hilo suala LA kunyoa kipara hata nimesahau niliulizwaje.

Karibu sie tupo, ila kaoge kwanza 😉ndio uje tupige stories
 
Back
Top Bottom