Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzee unakujia vibaya ujue kipenzi?
Sasa wapi hapo naonekana nimejichubua?
Hiyo ni camera tu na don't get twisted boo.
Btw Nimekumiss...
Siyo wewe maana wewe ni mzuri huhitaji kujichubua. After all wengi wanajichubua ili kuficha makovu ya uathirika. Wewe hujaathirika why kujichubua? Unapendeza na natural colour! Nduki
 
Kwanini tunajamba?kwanini "ushuzi" unanuka?Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kila mtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.
 
1.Kujamba ni nini hasa?


Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi.Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa.Hewa ingine husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu,na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria.Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen,asilimia 21 ni hydrogen,asilimia 9 ni carbon dioxide,asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen. Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa hydrogen sulfide na mercaptans,ambayo ndio ina sulfur ndani yake,sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe harufu mbaya Kujamba huambatana na sauti,hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa.Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.
 
2.Kwa nini Ushuzi hutoa Harufu mbaya?


Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu,vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio husababisha hili.Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama maharage,kabichi,soda na mayai.
 
3.Watu hujamba hadi mara 14 kwa siku


Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa siku.Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi cha miaka 6,anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu la atomiki.
 
5.Kujizuia Kujamba Inaweza Kuhatarisha Afya Yako


Madaktari hawajakubaliana moja kwa moja kama kujizuia kujamba ni hatari kiafya.Baadhi ya wataalam wanafikiri kujamba ni sehemu muhimu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula,hivyo kujizuia kujamba haitakuletea madhara.Wengine wanadhani kwamba kujizuia kujamba kunaweza kusababisha tumbo kujaa gesi,na pia inaweza sababisha kikundu(hemorrhoids).
 
8.Mchwa Hujamba Kuliko Wanyama Aina Zote


Ni ngumu kuamini kuwa mchwa ndo anawajibika na matatizo yetu ya "Global Warming".Mchwa huongoza kwa kujamba kwa wanyama,na hiyo huzalisha gesi ya methane.
 
10. Watu Hujamba Hata Baada ya Mauti Kuwafika


Maiti huendelea kutoa gesi hadi masaa matatu baada ya mtu kufariki dunia,hii huambatana na milio ya kujamba.Hali hii husababishwa na misuli kusinyaa.
 
Binti asiye na makalio basi atajikuta anavamia mchina na hata kama anaogopa basi ukiandika post inayoonesha kuna njia za kawaida za kuongeza makalio zisizo na madhara basi atakufuata inbox mapaka shida.
 
Mwembamba anatamani aonekane mnene hivyo nguo zake nyingi zitakuwa ni pana na pia wakati huo huo anatamani aambiwe ana hips au makalio makubwa kwa hiyo ana nguo fulani pia ambazo anataka zimbane sana angalau aoneshe hazina hizo hata kwa kufosi.
 
Mwanamke mnene yeye hapendi hivyo kwa hiyo yeye nguo zake nyingi ni za kubana sana ili aonekana sio nyama uzembe... lakini pia kuna wale wanene na wanaona kama hawana mvuto basi wao watajitahidi wayafanya matiti makubwa ili wawe na kitu cha kumfanya mtu asiwakosoe jumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…