Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hapa ubora wa mwanamke mweusi au mweupe unaendena na maeneo... mfano ukiwa sehemu za joto mwanamke mweusi ataonekana ni dhahabu kwa kuwa ni rangi adimu.
Asee hiyo picha yako ikowapi tuione
Ndio...
Mrefu anatamani awe nani??Mrefu anatamani awe mfupi na hali kadhalika mfupi awe mrefu.
Napenda kutuma salamu kwa Yegomasika popote pale alipo.
Ujumbe😛ole kwa mvua ya leo[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]