Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimewahi kusikia pia making LOVE is overrated. Hii pia inategemea NTU na NTU. Utamu wote huo ambao mnaweza kukesha kuufaidi inakuwaje uwe OVERRATED.



Hii ngoma ina Beat kali sana

WAGUMU SISI WE DONT BLV KWENYE HAYO MAKITU [emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548] chair aione hii
 
Muwe na usiku mwema

IMG_5045.JPG
 
On top of that kila miezi sita ukamuone dentist akuangalie afya ya kinywa na pia kusafisha meno kitaalamu zoezi linalochukua kati ya 30 minutes to 40 minutes. Afya ya kinywa inahusiana na afya ya mwenye kinywa.

KUPIGA MSWAKI
Kitu cha kwanza kufanya ni kupiga mswaki kwa ukamilifu kila uamkapo asubuhi. Wakati wa kupiga mswaki, utatakiwa siyo tu kusugua meno, bali pia ulimi, sehemu ya katikati hadi karibu na koromeo kwa kusugua vizuri.
Vile vile kila uamkapo baada ya kulala mchana au jioni, hakikisha unapiga mswaki, kwani bakteria wa kinywani, hutawala kinywa kila ulalapo. Mara baada ya kupiga mswaki na kusugua ulimi sawaswa, hakikisha unasukutua vizuri kwa maji, kwani hapa ndipo baadhi ya watu hukosea kwa kupiga mswaki bila kusukutua kwa maji.
 
Back
Top Bottom