BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hii ngoma ina Beat kali sana
WAGUMU SISI WE DONT BLV KWENYE HAYO MAKITU [emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548] chair aione hii
Zimeni data mlale
10:37 au haupo +255?Kwanini ???
Same to you dear
Na kwako pia Bak🌷🌷😘Ulale unono na njozi njema 😍😘
Sleep well love 🌷Goodnight people [emoji3448]View attachment 1208588
KUPIGA MSWAKI
Kitu cha kwanza kufanya ni kupiga mswaki kwa ukamilifu kila uamkapo asubuhi. Wakati wa kupiga mswaki, utatakiwa siyo tu kusugua meno, bali pia ulimi, sehemu ya katikati hadi karibu na koromeo kwa kusugua vizuri.
Vile vile kila uamkapo baada ya kulala mchana au jioni, hakikisha unapiga mswaki, kwani bakteria wa kinywani, hutawala kinywa kila ulalapo. Mara baada ya kupiga mswaki na kusugua ulimi sawaswa, hakikisha unasukutua vizuri kwa maji, kwani hapa ndipo baadhi ya watu hukosea kwa kupiga mswaki bila kusukutua kwa maji.
Na kwako pia Bak🌷🌷😘
#UkimuonaBabuYangu@AndjulMsalimie
You got nice pictures, thank you poti
You got nice pictures, thank you poti