Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

69100099_2449537251805804_1952978062870479697_n.jpg
 
Kwani umelazimishwa!? Si ujiuzulu!!! Unataka kupindisha sheria utakavyo wewe ikiwemo kuwanyanyasa wapinzani, kuwadhulumu wakulima, kuwabambikia kesi wasio na hatia, kuteka, kutesa na hata KUUA ndiyo sababu kazi huifurahii na unaiona ngumu.

Saa zote unawaza kutenda MAOVU TU!
😀😀

BAK unanifurahisha sana.

Sema Bro ni wajibu wako kusema!!
 
Back
Top Bottom