capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
😀😀Kwani umelazimishwa!? Si ujiuzulu!!! Unataka kupindisha sheria utakavyo wewe ikiwemo kuwanyanyasa wapinzani, kuwadhulumu wakulima, kuwabambikia kesi wasio na hatia, kuteka, kutesa na hata KUUA ndiyo sababu kazi huifurahii na unaiona ngumu.
Saa zote unawaza kutenda MAOVU TU!
[emoji818][emoji818]