Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NANUKUU;-Friends are greate to have,their importance can not be overestimated.From the very earliest stages of life,friendship has been natural part of the human condition.If you need to ask yourself why you need friends,then i will give you some great reasons why having friends is not only necessary.It is a positive aspect of our lives.
 
1/WANAKUONYESHA WEWE NI NANI-Kwa lugha ya kitaalamu tunasema They show you who you are,nafikiri hapo umenipata fresh.Tulio wengi huwa na marafiki ambao kimsingi tunaendana kwa maana ya tabia,kufikiri pamoja na vitendo.Kwa maana hiyo basi ni rahisi kwao kuwa msaada wa kutosha ktk kile ambacho tunafikiri au kukifanya kwa kututia moyo na nguvu ya kusonga mbele.
 
2/HUWA MSAADA KTK NYAKATI NGUMU-Ama kwa lugha ya kitaalamu tunasema A shoulder to lean on,nadhani tumesomana fresh kidogo.Kuna wakati flani kama binaadamu huwa tunakumbana au kukabiliwa na nyakati ngumu,wakati ambao huwa tunahitaji support au msaada kutoka kwa watu zetu wa karibu ambapo kimsingi huwa ni marafiki zetu au pengine ni ndugu zetu.Mfano wakati ambapo unakuwa umeondokewa na mpendwa wako au wakati ambapo umefukuzwa kazi na nyakati nyingine ngumu.
 
4/KUPITIA WAO UNAWEZA KUWA WEWE-Pengine hapa nimetumia kiswahili kigumu ila kwa lugha ya kitaalamu tunasema So with them you can be yourself.Hapo kama nimekupa Idea enhee.Ni wazi kuwa unapokuwa na rafiki,inakuwa rahisi kujiamini(being comfortable),hapa sasa unaweza kutoa wazo au fikra zako bila ya kuwa na aibu kwa sababu ukiwa nao unakuwa wewe kama wewe.Kma haitoshi basi mbele ya rafiki zako inakuwa simple hata kubadili nguo mbele yao au hata kulala ndani ya chumba kimoja.
 
Issa Liiie [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakishua sie uswahilini lilie jina la mtu. Maua ni maua saa nne,saa sita?maua kitenge,maua ukoka
 
5/HAKUNA ATAKAYEKUWA NA UWEZO WA KUMALIZIA SENTENSI ZAKO KAMA WATAKAVYOFANYA WAO-Sasa hapa ndo tunaona vile urafiki ulivyo na nguvu kiasi kwamba wanajua vile ambavyo unamaliziaga sentensi zako na kabla ya wewe kuongea wao wanakuwa tayari washajua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakishua sie uswahilini lilie jina la mtu. Maua ni maua saa nne,saa sita?maua kitenge,maua ukoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] numby, mbona na mm nayajua hayo maua, itakuwa tunatokea mtaa mmoja hapo uswahilini....maua kitenge hahaha
 
Back
Top Bottom