The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Sana sio uongo, hata wiki sina tangu niitumbue chunusi eneo hilo[emoji51]Asilimia kubwa Ya Wanawake tunapenda hii kitu hasa chunusi ikiwa eneo la pua.
Sana sio uongo, hata wiki sina tangu niitumbue chunusi eneo hilo[emoji51]Asilimia kubwa Ya Wanawake tunapenda hii kitu hasa chunusi ikiwa eneo la pua.
Duh hio mpya
Mimi nami kama wewe chunusi itoke usoni siiachi salama japo eneo la pua huwa inauma vibaya 😃😃Sana sio uongo, hata wiki sina tangu niitumbue chunusi eneo hilo[emoji51]
[emoji38][emoji38] tutakukabidhi kijana wetu umpe training
Pale kidevuni napapenda hata hapaumi kilaini inatokaMimi nami kama wewe chunusi itoke usoni siiachi salama japo eneo la pua huwa inauma vibaya 😃😃
Pale kidevuni napapenda hata hapaumi kilaini inatoka
Chunusi iote kwenye mdomo pembeni jamaniii ni hatari 😀😀😀😀Pale kidevuni napapenda hata hapaumi kilaini inatoka
Numby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi chunusi ikiwa kwenye chavu haina maumivu.Pale kidevuni napapenda hata hapaumi kilaini inatoka
Haha,Mimi nami kama wewe chunusi itoke usoni siiachi salama japo eneo la pua huwa inauma vibaya [emoji2][emoji2]
[emoji38][emoji38][emoji38] upole rahaa, hata mimi ni mpolee na naupenda[emoji41]Hahahahahaha lol! hapana banaa mie napenda aendelee kuwa hivyo ila wakati mwingine namuonea huruma anavyolalamika humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeeUnapenda kukamua chunusi? Za kwako au ......? 😉😉😉
Hio inauma sana. Ikitokea tu najua tayari nina malariaChunusi iote kwenye mdomo pembeni jamaniii ni hatari 😀😀😀😀
Zile hutokea kwa msimu kama ulivyo andika ni kweli kabisaHio inauma sana. Ikitokea tu najua tayari nina malaria
Aah afadhali.... basi kumbe kama mimi tu..!Hivi chunusi ina wakichua mimi naweza kukaa miezi 5 nisiwe na chunusi il hutokea mara chache.
Hahahaha haki vile umenichekesha mno Numbisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho jirani ana msemo mpya
Usiku wa chunusi
Poleni wenye chunusi
Usiku wa kutumbua chunusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]