Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mie mwenyewe mpole sana tu ule uchakaramu wa kule siasani ni kwa sababu ya makamongo wa mtaa wa lumumba. Ukiondoa hilo mie ni kama maji ya mtungini 😂😂😂

🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️

[emoji38][emoji38][emoji38] upole rahaa, hata mimi ni mpolee na naupenda[emoji41]
 
Hahaha eti Lumumba, basi Uzi wa watu wapole huu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…