Wanajamii, Embu tukumbushie kama kichwa cha habari hapo juu, Mimi sitasahau nilifumaniwa na lizee limoja niko na msichana wake tena geto na msichana kabisa! Sitasahau niliruka ukuta na wala sikutaka kumuuliza msichana huyo ni nani wake maana nilichachawa balaa ukichukulia nilikuwa bado chalii...