BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Kwema Mo.
Habari ya leo?
Aisee mambo ni mengi, mengi yamekua mabo ila hatuna budi kumshukuru Mungu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1209429View attachment 1209430
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitaje mie mpole sanaUmeona eeeeh kasoro wachache.
#SiwatajiKwasababuSioWapole
Zinaitwaje sasa maana zinaumaHizo sio chunusi bana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah afadhali.... basi kumbe kama mimi tu..!
[emoji2320]Numby anajua ukiwa hutoki chunusi basi mambo safi[emoji23][emoji23][emoji12]
😂😂😂😂 lazima awepo hata mmoja, me ninao wawili, waliobaki ni watu ninaofahamiana naoMimi Sina rafiki nitakuwa na tatizo 🤔