Usingle shida wakuu, sina usingizi, sina dem wa kuchat nae nimekumbatia mto [emoji36]
Mlale kwa amani
#UsikuWaUlaya
Hivi sheria zinaruhusu kumuua nyangumi?Wakazi wa Dar es salaam wakigawana nyama ya Nyangumi baada Nyangumi huyo kukwama ufukweni jijini humo.View attachment 1210217
Niaje Moud, kwema huko?
Hapa caption aweke m/kiti mwenyewe.