Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Methadone hutumika kwa watu wote wenye utegemezi wa dawa za kulevya hata wajawazito wanaotumia dawa za kulevya hupewa methadone ili kumkinga motto aliyetumboni asipate utegemezi. Hadi sasa hakuna madhara ya methadone yanayojulikana kwa watoto wachanga.
 
Back
Top Bottom