ADO SHAIBU ana ajenda gani?
mbona siku hizi chache amefululiza kuandika makala za kumsifia tundu lisu na chadomo?
hii movie ya lisu muda mchache ujao itapiganwa na wapinzani wenyewe kwa wenyewe.
sisi mashabiki tutapaswa tuingie ukumbi wa cinema na kiroba cha popcorn