D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
achana na di maria jana pale kati alikuwepo mtu mweusi kama barabara ya lami.
jina lake ni idris gana gueye.
alichowafanyia real madrid pale kati unaambiwa mpaka muda huu wachezaji wa madrid hawajaamka kwa uvivu.