Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Mungu atupe jioni njema na ya amani
Mungu atupe afya na uzima
Jioni iwe njema kwa wote
[emoji23][emoji23][emoji23]naunga mkono hoja kwa sauti ya juu
[emoji23][emoji23] why VE?
[emoji125][emoji125][emoji350]aleleleee aleleeeee[emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji445][emoji444][emoji443][emoji443][emoji443]View attachment 1212215
Cocoriko ama milestone
😂😂😂 huo wali bwana umepikwa na nyumba ndogo, na hapo umelala juu ya rosti ya mainiHuu ni wali huu huu wali au mrembo kavaa pichu na wig lake la blonde kalala kwenye matope? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
NipitieMilestone pa watoto itabidi tuende cocoriko
Ni jambo la muhimu sana kumtanguliza Mungu katika kila jambo [emoji56][emoji56]Chochote utakachopick usisahau kusali pia [emoji41]
Hahahha aiseUtasikia, “Alikuwa ananisumbua sana nikamwambia nitakupa mara moja tu usinifuate fuate tena mie nina bwana/mchumba wangu”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]