andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nafurahi kusikia kama upo vizuri.Mjukuu kwema?
Mimi nipo vizuri kabisa namshukuru Mungu.
Endelea kucheza cheza na wenzio ili upate uzoefu wa kuandaa vyakula kama konokono... Sawa mama?
Nafurahi kusikia kama upo vizuri.
Najifunza kuandaa hii kitu nikiiweza nitahamia kwa hao 🐌🐌View attachment 1212354
Fatma Karume asimamishwa kufanya kazi za Uwakili Tanzania Bara kwa kosa la kuishambulia ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)
YA MUNGU MENGI SAAAANAAAA HAPA DUNIANI LAZIMA TUTAZIBADILISHA HIZO FIKIRA ZA VYAMA VYA MA-KONK Masterwww.jamiiforums.com
😂😂😂 food monga.Ni akina nani hao? Kwa sie wapenda kula hiki kinaishia kwenye ulimi tu hata kwenye meno hakifiki😂😂😂😂
😂😂😂 food monga.
Hicho kwa usiku kinatosha na kinafika hadi tumboni.