ni kweli
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 236
- 288
WANTED
jina : shimba ya buyenze
amepotea : tokea mechi ya yanga na zesco.
atakayemuona apige simu namba 0877123456
- ameondoka nyumbani kwa wajukuu zake akiwa amevalia bukta manjano, fulana kijani na ndara kijani.
- ana matatizo ya kupenda wanawake wenye makalio makubwa
- hana tatizo la akili japokuwa ana miaka 96 ya kuzaliwa.