Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WANTED
jina : shimba ya buyenze
amepotea : tokea mechi ya yanga na zesco.

  • ameondoka nyumbani kwa wajukuu zake akiwa amevalia bukta manjano, fulana kijani na ndara kijani.
  • ana matatizo ya kupenda wanawake wenye makalio makubwa
  • hana tatizo la akili japokuwa ana miaka 96 ya kuzaliwa.
atakayemuona apige simu namba 0877123456
 
Hahahahahahahahahahahahah mara ya mwisho alionekana akiwa na mwanamke mwenye makalio makubwa sana kwi kwi kwi kwi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…