Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiki kiuno pia kisiwe na minyama uzembe ๐Ÿ˜‚ maana hizo shanga zitapoteleamo
 
Kama style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike kiunoni pake basi peleka mikono yako,Chezea shanga kwa kuzipapasa kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda juu,au vyovyote unavyoweza.
 
Numbisa katika ubora wake ๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ๐Ÿ‘๐Ÿฝ

 
pumbavu zake, kwa hivyo kufuga nywele nyingi kama sokwe anaona ndio sifa.
hiyo kazi ya kunyoana nywele itakuja kunishinda.
romantic my foot
mwache akanyolewe nje nitampa pesa ya kununulia viwembe na ya kumlipa mnyoaji
 
Umekaa zako home mara paap simu ya demu wako inaingia unapokea anakwambia:
_"Njoo home nipo peke yangu..."_

Halafu wakati unatoka tu unasikia dada yako anaongea na simu:

_"Bae njoo kaka anaondoka..."_

Eti baharia kama ni wewe utabaki au ndio
*BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA*
 
dunia ya sasa ni mwendo wa virtualization.
nitamtengeneza daemusin mwengine atakayefanya kazi ya kulinda nyumbani.
then nitakwenda kwa mchepuko
 
bikira 70 nitawaachia boko haram na alshababu wagombaniane huko peponi.
kwa ujinga wetu sisi wengine tutaingia na sabuni kama kawaida yetu mpaka peponi.
vyoo si vitakuwepo?

nikiwa peponi kazi kubwa nitakayoifanya ni kumsikiliza the king of ballad songs siku nzima
mr park hyo shin ahjussi.
the introvented man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ