Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Kwani yule wa kiba ni wapi nae? Sio Rwanda ile.anavyojidai anawatoa rwanda.
ninavyofahamu mimi wanawake wa rwanda wote ni rangi ya chocolate lakini ukimuangalie yule ana rangi nyeupe kama maziwa ya unga
Itakuwa kamix Mrwanda na Mmexico 😂