Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1568807760549.jpeg
 
WANTED
jina : shimba ya buyenze
amepotea : tokea mechi ya yanga na zesco.

  • ameondoka nyumbani kwa wajukuu zake akiwa amevalia bukta manjano, fulana kijani na ndara kijani.
  • ana matatizo ya kupenda wanawake wenye makalio makubwa
  • hana tatizo la akili japokuwa ana miaka 96 ya kuzaliwa.
atakayemuona apige simu namba 0877123456
😂😂😂😂 anawasalimia sana.
Eti yuko busy🏃
 
Utamuweza Daemusin na kauli zake!
😂😂😂😂😂😂
wewe mwenyewe si umemuona jinsi binti alivong'ara mwilini utadhani amepaka makeup mwili mzima.
hivi diamond platinamu hajamuona yule msichana?

nikijaaliwa kuwa na msichana mrembo kama yule hata kama ataniambia nisitumie tena JF maisha yangu yote nitamwambia ahsante bibiyee.

ya nini kupoteza tena muda wangu kwa ajili ya likes na hadithi za juma pombe maharage.
 
Haha wanasemaga hivi 'kila mtu akomae na size yake 😂 itakuwa mond sio level za yule bibie
Tumuulize BAK anapowatoa na wewe tukufanyie mpango
 
anavyojidai anawatoa rwanda.

ninavyofahamu mimi wanawake wa rwanda wote ni rangi ya chocolate lakini ukimuangalie yule ana rangi nyeupe kama maziwa ya unga
 
Back
Top Bottom