moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Na huu mwili?!! Utakae pata tabu ni wewe 😂😂😂🏃🏃naomba chini uvae mbwagio kama walizovaa wasafi kwenye wimbo wao wa zilipendwa
Wa kukaja.... View attachment 1214191
Poleni wasafiri wote
Poleni wakulima wote..
Wafanyakazi poleni sana
Poleni mlio kwenye daladala
Wagonjwa Mungu awaponye
Mungu atupe jioni njema
Tuwe na afya na uzima..
Salama Mzee wa pwani, kheri huko?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee wa Mwakaleli habari yako