moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asubuhi njema
Mungu atupe siku njema yenye baraka
BAADAE HIZO LIKES ZINAGEUKA BITCOIN AU TUTAZITOA KWA MPESA NINI??!!!
Salam kwenu wote..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe tambaa nae tu, si wanasema uzee mwisho Chalinze! [emoji16][emoji16]
Huyo mwenyekiti ni dhaifu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyekiti ongeza sauti huku nyuma hatujasikia [emoji23][emoji23][emoji23]
huyo mchungaji ana wazimu kweli.
Aiseeee hii code ngumu kuliko maisha yangu, mpendwa tufafanulie tafadhali.ni ipi faida anayoipata member X pindi anapo follow account ya member Y humu JF?
sielewi kwa nini mjinga mimi kuna members wananifuata.
Eti rafiki yako ana kumpotezea Mungu aingilie Kati kwa hili.