Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hii ni bora uende baa zenye ma bodyguard ili hata ukianzisha ugomvi, utatolewa nje na kama kupigwa utapigwa kistaarabu
Mkuu una bahati sana... Mkeo ana upendo wa Agape.... Saa nane anataka 'fenesi'!!??!!!acha tu usumbufu wake naujua mimi.
jana amenitoa saa 8 usiku nikamtafutie fenesi wakati msimu wa mafenesi bado.
nlitamani nimpige ngumi nyingi usoni.
Raha ya fenesi ni uwepo wa chenza...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Fenesi eeh?
20:12
Poa Mg.. mzima?
Huyu dada namfahamMsingi mauno... Sijui kwanini nimezeeka kabla ya umri wangu kutimia?!!!View attachment 1215411
Msingi mauno... Sijui kwanini nimezeeka kabla ya umri wangu kutimia?!!!View attachment 1215411