moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Amin
Amani itawale usiku huu
Amani itawale usiku huu
Burudani za usiku zinaendelea
Kumbe jamaa walitupia mambo yao humu? Bora binti mpole alivyowachana live, kuna posts niliona sijui za juzi inaonekana kuna uzi Mods waliutupa huku sasa nao wasifanye huku ni jalalaniwageni wengi wanaochukulia huu uzi unaongozwa na wachangiaji wapumbavu.
binafsi ile picha niliiona lakini nikashindwa kumpa hata dislike.
huu uzi si wa ponography
tunapaswa tudumishe heshima na nidhamu mbele ya hadhira haijalishi hatuonani kisura.Kumbe jamaa walitupia mambo yao humu? Bora binti mpole alivyowachana live, kuna posts niliona sijui za juzi inaonekana kuna uzi Mods waliutupa huku sasa nao wasifanye huku ni jalalani
AiseeUsiku wa papaView attachment 1215273
Poa Mg.. mzima?Mambo
Inaonekana jamaa walivuka mipaka sana, pamoja tushirikiane kudumisha hiyo heshima humu likija genge la wahuni kama hivyo tukemee tu......tunapaswa tudumishe heshima na nidhamu mbele ya hadhira haijalishi hatuonani kisura.
alichokifanya jamaa ni zaidi ya ujinga.
wapo wadau wanaweka picha za mitego mfano shimba ya buyenze na BAK lakini hawajahi kuvuka kiwango cha uhuni kama alivyofanya jamaa.
🤣🤣🤣🤣 Fenesi eeh?acha tu usumbufu wake naujua mimi.
jana amenitoa saa 8 usiku nikamtafutie fenesi wakati msimu wa mafenesi bado.
nlitamani nimpige ngumi nyingi usoni.