capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Aaah bana mambo makubwa mno laivu laiv jamaa aking'ata konokonoIlikua ni nini binti mpole embu nihadisie
Nilipoona kikosi cha fifa kajumuishwa modric marcelo hadi ramos cheiiii messi kabebwa hahahahaAsante bro Messi ni hatari
Jizazi!!Aaah bana mambo makubwa mno laivu laiv jamaa aking'ata konokono
Hahah! Comments kama hizi lazima ziwepo kunogesha tukioNilipoona kikosi cha fifa kajumuishwa modric marcelo hadi ramos cheiiii messi kabebwa hahahaha
Kama mfuasi mzuri wa zari hii birthday aliipania sana mpaka kaboa yaaaniii[emoji125][emoji125]
Hata sikutamani kuiscrenshot picha ilizingua sana daahJizazi!!
Sasa hauna ata skirinishoti yake?
Ila kuna watu wamevurugwa au hawajui JLW
Hata mmoja hajaingia kikosi cha fifa aiseeeee