Mara nyingi unapojisikia kukata tamaa, kwamba huwezi kuendelea tena, huwa upo mita chache tu kutoka kwenye muujiza wako. Laiti ungeendelea kidogo ungeona maajabu lakini wengi wetu hukata tamaa na kuondoka”
kutokana na usemi huo, nami namuunga mkono asilimia zote kwani ni mara ngapi uliwaza au ulikuwa ukifanya jambo Fulani ukakata tama na kuacha lakini alipolifanya mtu mwingine alifanikiwa na ukaanza kujilaumu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.