moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asante ndugu
Poleni mlio kwenye daladala
Poleni mlio kwenye daladala
Poleni wasafiri wote, mfike salama
Wagonjwa Mungu awaponye
Mlio kwenye matatuu, bajaji poleni
Kila mtu ana umuhimu wake
Jioni iwe njema
Mungu aturudishe nyumbani kwa amani na usalama...
Mungu atupe afya na uzima..
Kwema aisee.Shwari bro, habari yako