myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
uji wa ngano?Uji pia muhimu....
Nnavyozipenda hizi sasa 🙂..2000 haitoshi labda ukanunue kachori na bagia za kunde au dengu.
baadae upite kwa babu issa ununue packet la ubuyu.
View attachment 1216728
Lol
ndio maana wenyeji wako hujifanya hawana pesa, wanahofia ukifika kwenye meza ya vyakula utakula bagia zote.Nnavyozipenda hizi sasa 🙂..
😁Uroho haujawahi acha mtu salama wallahindio maana wenyeji wako hujifanya hawana pesa, wanahofia ukifika kwenye meza ya vyakula utakula bagia zote.
🏃♂️ 🏃♂️ 🏃♂️
dawa ya uroho uwe na fedha za kutosha na tumbo kubwa kama pipa.😁Uroho haujawahi acha mtu salama wallahi
HomeNyumbani au restaurant
Muda wa kulala
+255
Mi mzima MG sijui wewe...
Nakuonaaa ...
watu wa tanzania bara munapenda ugali na sembe ndio maana muna vichwa vikubwa.