Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hivi munaweza kukaa japo siku moja bila ya kupika sembe majumbani mwenu?

pilau
biryani
wali
chapati kwa mchuzi wa rosti la nyama au samaki
maandazi kwa mchuzi wa rosti la nyama
mikate ya ufuta
mbatata za rosti
maharage
zanzibar mix (mayai +kachori + katlesi+ sambusa za nyama au mbatata)

every day sembe sembe sembe.
na munavyopenda sifa mukifika kwa mama ntilie.
aiseee mama johni pombe hebu weka ile sahani kubwa ya ugali na maji tu, wala leo sihitaji mboga mboga kwa sababu tumbo limeingia ganzi.
😂😂😂 duh! Me najua sembe ni ile ya unga tu, kumbe hata pilau, wali na chochote kitokacho kwa ngano ni sembe?!
Aisee we mpemba wewe 😂😂
 
ASILIMIA 30 YA WATOTO NCHINI WAMEDUMAA, CHANZO KUTOKUJUA KUPIKA
-
Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndugulile, amesema asilimia 30 ya watoto hapa nchini wamedumaa huku asilimia 5 ya watu wazima hasa kina baba wakiwa na viribatumbo
-
Amesema tatizo hilo linasababishwa na watu kutokujua kupika kwani wanatumia mafuta mengi katika vyakula, wanakula vyakula vyenye sukari nyingi na kusababisha watoto wao kudumaa kutokana na kushindwa kupatiwa lishe inayostahili

=======================================================================================
watajuaje kupika na muda wote wanahangaika na maisha.
wakirudi nyumbani wanapika sembe.
leo mutanikoma
 
759E1235-E5DC-4F66-9482-EFB3292FAEE6.jpeg
97AC2657-C01E-4814-B398-7BE71E7A0152.jpeg
 
Mikoa ambayo inalima vyakula vingi kama Mbeya na Songwe ndiyo inayoongoza kwa watoto kudumaa kutokana na kushindwa kupangilia chakula
-
Amesema, Vyakula vingi vinatakiwa kupikwa kwa kuchemshwa na sio kujaza mafuta kama watu walivyozoea. Pia, utumiaji wa nazi nao unachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la viribatumbo na udumavu kwa watoto
 
Back
Top Bottom