moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
πππTumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuamsha tuione siku nyingine [emoji120][emoji120]
wengine hatuja amkaTumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuamsha tuione siku nyingine [emoji120][emoji120]
Kwahiyo umecomment usingiziniwengine hatuja amka
account imetekwa na mama watoto.Kwahiyo umecomment usingizini
π msalimie, mwambie aache simu akaandae chaiaccount imetekwa na mama watoto.
huoni huu muandiko ni wa keeeeee japokuwa hauna manyonyo