Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilitia kambi huko nikisuburi kuona Ugwajima wako 😅
😡😡
vita ilikuwa inapiganwa sehemu nyengine kati ya mafahari wawili cha ajabu woga ulikuwa upande wangu mimi.
nikizisoma comment za yule jamaa namuona yupo serious lakini nikizisoma comment za numbisa yuko vile vile harudi nyuma kimsimamo kama waarabu wanapoamua kufanya maandamano.

🙁🙁
sivutiwi kabisa na ishu za kudhalilishana mbele ya hadhira ndio maana nilikuwa natamani numbisa apotezee ile ishu lakini wapiiii binti ana mshipa wa ubishi kama muizraili.

alfajiri nilipoamka nikautafuta kwanza ule uzi niangalie huyu mtu ninayemuheshimu hawajamfanyia vitendo vya kibaharia?

afadhali upepo umetulia​
 
andjul kuna wateja wako huku
ahsante sana.
ila biryani bila ya juisi ya parachichi ni sawa sawa na mswaki usio na dawa.
juisi muhimu bibiee.
usije ukasahau
nitakapokuja usiponiandalia juisi christmass yako itaharibika
Oh! Unapenda juice ya parachichi kama Mimi?
Yani hiyo uwa haikosi
 
Hapa ndipo unakuta mtu anaanza kutoa maoni yake kuhusu imani; anasema imani fulani ni mbaya na bila kupinda ataanza kuvutia ya kwake kuwa ndio nzuri, katika hali hii atakuwa ameingiza maoni yake katika kutambua uzuri na ubaya wa imani, kuwa makini sana na jambo hili.
 
Ukifuatilia kuhusu uzuri na ubaya wa imani hakika hutapata jibu moja kwamba imani ipi ni nzuri na ipi ni mbaya ila kikubwa zaidi utakachopata ni mitazamo ya watu itakayokuwa inakuvuta uamini kuwa imani yao ndio nzuri.
 
Ninachoamini ni kuwa kila mtu anaamini kile anachoamini kwa sababu ana imani nacho ndio maana ameamua kukichagua hivyo hakuna imani nzuri wala mbaya kwa sababu kila mmoja amechagua kukiamini kile anachokiamini na kina manufaa kwake.
 
Jamii inapoendekeza masuala ya kiimani ni suala ambalo si zuri na wala haitakuja kutokea jamii yote tukaja kuwa na imani moja kwa sababu sisi ni wanadamu, tuna akili tofauti na tunafikiri kila mmoja tofauti na mwenzake hivyo haitarajiriwi wote tukaja kuwa sawa katika kuamini, kuhusu hili sahau kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…