D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
mwalimu nina suali naomba kukuuliza.Mayai ni chanzo kizuri sana cha protini/Eggs are a great source of protein.
Kama ambavyo imeshaelezewa, mayai yana pritini yenye ubora wa hali ya juu ambayo mwili unauhitaji kwahiyo kwa kula mayai mwili unaimarika vema.
je mayai yanatibu tatizo la nguvu za kiume?