Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
ππ subirini tumalize yetu kwanza, watarudiamewaficha
Nasikitika sana kuwa sehemu ya hiyo 25%ukoroma huzidi kwa kadri umri unavyoongezeka na asilimia 54 ya watu wazima hukoroma baadhi ya wakati huku asilimia 25 ya wengine wakiwa na tabia ya kukoroma kila wakati.
PoleNasikitika sana kuwa sehemu ya hiyo 25%
Yaani unanifananisha Mimi na mashine ya umbea π !!
DahSababu ulkuwa umelala mda huo
Bro kesho nitakua pale Mwembe yanga na chama langu kwenye michuano ya Premier betting, ukipata muda uje kuniona nikichafua dimbani kama De Jong